Omschrijving
Unapotaka kuanzisha biashara ya nguo ni muhimu ufahamu kuwa kuna mambo muhimu inabidi utekeleze kama unataka kumiliki duka la nguo lenye mafanikio Jambo la msingi kuelewa ni kuwa usianzishe biashara ya duka la nguo kwa kuwa jirani yako, ndugu yako au rafiki yako anamiliki duka la nguo lenye mafanikio Hakikisha kwanza kuwa biashara ya duka la nguo imekuwa mawazoni mwako muda mrefu kwa kuwa unaipenda. Lazima uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuanzisha hii biashara, sio kwa sababu umeona mtu mwengine amefanikiwa katika biashara ya nguo Mjasiriamali unaweza kuanzisha biashara ya duka la nguo baada ya kujiridhisha kuwa eneo fulani kuna wateja ambao wanakabiliana na changamoto mbali mbali zinazohusiana na biashara ya nguo. Hivyo unachofanya ni kuzigeuza hizo changamoto za hao wateja, kuwa fursa ya
Kenmerken
| Artikelnummer | 9300000075391390 |
|---|---|
| EAN | 9798201540814 |
| Categorie | Digital Reading |
| Productgroep | Boeken |
| Segment | Textual/Printed/Reference Materials |
| Prijs Nederland | € 2,99 |
| Prijs België | € 2,99 |
| Verzendkosten NL | Gratis |
| Verzendkosten BE | Gratis |
| Levertijd Nederland | Morgen in huis |
| Levertijd België | Morgen in huis |
| Verkoper | Partner |
Ujasiriamali 5 - Biashara ya Duka la Nguo bestellen bij snelkeus
Koop Ujasiriamali 5 - Biashara ya Duka la Nguo van Onbekend online in de categorie Digital Reading. Prijs € 2,99, levering in Nederland · Morgen in huis.