Omschrijving

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Masha

Kenmerken

Artikelnummer9200000120289535
EAN9788726270761
CategorieDigital Reading
ProductgroepBoeken
SegmentTextual/Printed/Reference Materials
Prijs Nederland€ 0,99
Prijs België€ 0,99
Verzendkosten NLGratis
Verzendkosten BEGratis
Levertijd NederlandMorgen in huis
Levertijd BelgiëMorgen in huis
VerkoperPartner

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi bestellen bij snelkeus

Koop Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi van Onbekend online in de categorie Digital Reading. Prijs € 0,99, levering in Nederland · Morgen in huis.