Omschrijving

Rose Simon anakuwa mjane baada ya kuuawa kwa mumewe, Julius Mabala, mwanaharakati aliyekuwa amejitolea maisha yake kupambana na rushwa na ufisadi--akiwa amejiridhisha pasipo shaka yoyote yuko tayari kuwasilisha tuhuma na ushahidi na pia kushirikiana na vyombo husika katika kuhakikisha kuwa sheria inafuata mkondo wake. Akiwa mbele ya kamera za televisheni, muda mfupi tu baada ya mazishi ya Julius, Rose anatoa tamko linalowatia kiwewe wauaji wa Julius. Siku chache baadaye akiwa safarini gari lake linagongwa na gari jingine. Waliomgonga wanapoondoka eneo la tukio wanaamini kuwa wamemaliza kazi. Vyombo vya habari havikuripoti taarifa hii. Ndugu na jamaa wanamtafuta bila ya mafanikio. Kwa miezi kadhaa anatibiwa hopitalini hapo huku madaktari na wauguzi wakiwa wamekata tamaa lakini katika kama m

Kenmerken

Artikelnummer9200000077482057
EAN1230001649673
CategorieDigital Reading
ProductgroepBoeken
SegmentTextual/Printed/Reference Materials
Prijs Nederland€ 2,94
Prijs België€ 2,94
Verzendkosten NLGratis
Verzendkosten BEGratis
Levertijd NederlandMorgen in huis
Levertijd BelgiëMorgen in huis
VerkoperPartner

Kiama Chao bestellen bij snelkeus

Koop Kiama Chao van Onbekend online in de categorie Digital Reading. Prijs € 2,94, levering in Nederland · Morgen in huis.