Omschrijving

Kwa sababu ya woga watu wanapoteza fursa nyingi sana maishani. Wengine wamepoteza nafasi ya kupata mchumba mzuri kwa sababu ya woga, wengine kwa woga siku ya interview wakakosa kazi na bado wengine fursa za biashara zikawapita. Lakini Neno la Mungu liko wazi kwamba huna haja ya kuogopa yeyote wala chochote ila Mungu Mwenyezi. Katika kitabu hiki, Biblia Inasema Usiogope, mistari mbalimbali katika Maandiko Matakatifu inachambuliwa kumpitisha msomaji kuanzia kuona kwamba woga ni dhambi hadi namna za kuishinda hofu na kutembea jasiri kama impasavyo mtu mwenye imani. Hiki ni kitabu cha mafundisho ya Biblia yanayomfaa kila mtu lakini zaidi yule aliyebanwa na changamoto za kimaisha zinazomfanya ajawe na hofu kwa sababu ya kutoona uchochoro wa kutokea. Soma kitabu hiki na hutabaki mdhaifu tena.

Kenmerken

Artikelnummer9300000143373520
EAN9798215077429
CategorieDigital Reading
ProductgroepBoeken
SegmentTextual/Printed/Reference Materials
Prijs Nederland€ 2,99
Prijs België€ 2,99
Verzendkosten NLGratis
Verzendkosten BEGratis
Levertijd NederlandMorgen in huis
Levertijd BelgiëMorgen in huis
VerkoperPartner

Biblia Inasema Usiogope bestellen bij snelkeus

Koop Biblia Inasema Usiogope van Onbekend online in de categorie Digital Reading. Prijs € 2,99, levering in Nederland · Morgen in huis.